JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini

• Mhandisi Lwamo ataka udhibiti madhubuti kuepusha maafa • Watakiwa kusimamia sheria, sera, kanuni, Na Mwandishi Wetu, JakhutiMedia, Dodoma MATUMIZI ya Baruti nchini yameongezeka kutoka wastani wa tani 3,000 kwa mwaka katika miaka ya 1990 hadi kufikia wastani wa tani…

Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini

Wananchi katika Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora wamempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha umeme kwenye vituo vya afya vijijini. Wamesema kuwa kufika kwa umeme kwenye vituo vya afya vijijini…

Simba yazidi kuchanja mbuga

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoa sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Fc Bravos do Maquis wakiwa ugenini nchini Angola. Bao la Simba…

Maria Sarungi atekwa Nairobi

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amesty International nchini Kenya limeripoti kutekwa kwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Mtanzania Maria Sarungi Tshehai leo katika eneo la Kilimani jijini Nairobi Nchini Kenya. Taarifa ya Shirika hilo imesema watekaji…