JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi

Kimbunga Chido kilisababisha uharibifu mkubwa, na kuua watu wasiopungua 39 na kujeruhi wengine zaidi ya 5,600 katika kisiwa hicho ambacho kinakaliwa na Ufaransa mashariki mwa Afrika. Wakazi wa kisiwa cha Mayotte wanajiandaa kwa dhoruba ya upepo mkali na mvua kubwa…

Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria

MSEMAJI wa Polisi ya Nigeria, Abubakar Sadiq Aliyu, amesema msafara wa wanamgambo wa serikali ulishambuliwa kwa bunduki na majambazi huko Baure, kijiji katika wilaya ya Safana. Wanamgambo wapatao 21 wanaoiunga mkono serikali ya Nigeria wameuawa katika shambulizi la kuvizia na…

Ulega atoa miezi mitatu daraja Lukuledi likamilike

WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika barabara hiyo…

Serikali kupunguza uhaba wa walimu, kufanya usaili wa kujaza nafasi 14,648

SERIKALI inatarajia kuanza kufanya usaili wa kujaza nafasi 14,648 kwa kada ya walimu kwa shule za msingi na sekondari unaolenga kupunguza uhaba nchini. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa vibali vya ajira 155,008 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani…

Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko

📌 Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari 📌 Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….