JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAWAKILI wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Tabora wamelaani vikali kitendo cha kuzuiwa kutekeleza majukumu yake mmoja wa wanachama wake alipokuwa akifuatilia masuala ya wateja wake waliokamatwa. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana…

Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam waliohitimu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na shule za vipaji maalum. Mkuu wa shule hiyo,…

Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro

Mtalii wa Israel ambaye utambulisho wake haujabainishwa (mwanamke) amefariki na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 5, 2025 na Kaimu Meneja Uhusiano wa NCAA,…

Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-

Raia watatu wa China wametiwa mbaroni wakiwa na vipande 12 vya dhahabu na dola 800,000 za Kimarekani katika sehemu ya mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kwa mujibu wa Gavana wa Mkoa wa Kivu kusini Jean Jacques Purusi. Dhahabu…

Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini

Ofisi ya Kupambana na Ufisadi wa Maafisa wa Ngazi za Juu ya Korea Kusini imeliomba jeshi la polisi kuchukuwa jukumu la kumtia nguvuni rais aliyendolewa madarakani na bunge, Yoon Suk Yeol. Ombi hilo ni baada ya maafisa wake kushindwa kumuweka…