Author: Jamhuri
Tanzania, Finland kuboresha ujasiriamali nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UBALOZI wa Finland nchini umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuongeza umuhimu wa matumizi ya mifumo ya kidijiti kwa vijana wajasiriamali ili kuboresha huduma za umma na ujasiriamali. Balozi wa Finland nchini, Theresa…
Vijana waitwa kuwekeza mazao ya bahari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darces Dalaam TUME ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) imewaita vijana kuwekeza kwenye uchumi wa Buluu kupitia ubunifu katika mazao ya bahari ikiwemo mimea ya bahari, magamba ya chanza na mengineyo. MKurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dk…
Rais Samia apongezwa kuanzisha bima ya afya kwa wote
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora RAIS wa awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuanzisha mpango wa Bima ya Afya kwa wote hapa nchini kwa kuwa itawezesha wananchi kupata huduma bora za…
Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila ya kumwonea mchimbaji yoyote – Mhandisi Kamando
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi…
Mpango wa Usawa wa kijinsia 2021–2027 wapewa msukumo mpya, Serikali yasisitiza haki sawa kwa wote
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa matakwa ya kikatiba ya usawa wa kijinsia yanatafsiriwa kwa vitendo katika nyanja zote za maisha, ikiwa ni pamoja na elimu, ajira, uongozi na mifumo ya sheria. Haya yamebainishwa leo Mei 29,2025 Jijini hapa…





