JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia amlilia mwanasheria mkuu mstaafu Jaji Werema

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Mstaafu Frederick Werema. Ninatoa pole kwa familia, Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji, ndugu, jamaa na marafiki.  Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie subra na…

Naibu Katibu Muu Wizara ya Fedha ateta na Rais wa IIA -Tanzania

Na Josephine Majura, WF, Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, kwa niaba ya Katibu Mkuu, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA), Dkt….

Netanyahu afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amefanyiwa upasuaji wa tezi dume . Upasuaji huo umekuja baada ya kugundulika alipata maambukizi kwenye njia ya mkojo. Kwa mujibu wa madaktari wanaoendelea kumtibu wamesema Waziri Mkuu Netanyahu anaendelea vizuri na matibabu. S Hatahivyo…

Chad yafanya uchaguzi baada ya miaka 3 ya utawala wa kijeshi

Raia wa Chad walipiga kura hapo jana katika uchaguzi mkuu ambao serikali imeusifu kuwa ni hatua muhimu ya mpito wa kisiasa, baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. Hata hivyo uchaguzi huo ulishuhudia idadi ndogo ya wapiga kura huku…

Songea waiomba Serikali kuboresha bustani ya wanyamapori Ruhila Zoo

Na Mwandishi Wetu, JamuriMedia, Songea WANANCHI wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wameishauri Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha Bustani ya wanyamapori Ruhila Zoo ili kushawishi na kuvutia watu wengi zaidi kwenda kutembelea bustani hiyo ya wanyama. Walisema,…

Mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miezi miwili

Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Anna Mwakilima (24), mkazi wa Mbuyuni, Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za wizi wa mtoto mwenye umri wa miezi miwili na nusu (jina la mtoto tunalihifadhi). Kamanda wa…