Author: Jamhuri
Rais Samia: Tanzania imetekeleza malengo 17 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hadi sasa Tanzania imetekeleza Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDG’s). Akizungumza katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya wanawake Dunia ambapo kitaifa yamefanyika…
Akamatwa kwa kung’oa bendera za CUF Kondoa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Kondoa Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma baada ya kukamatwa akiing’oa bendera na mabango ya Chama cha Wananchi (CUF) . Hayo yamejiri wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama…





