Jamhuri

Serikali: Wamiliki wa viwanda zingatieni sheria ya mazingira

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka Wawekezaji na wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia Sheria ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira zilizoanishwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira(NEMC) wakati wa uanzishaji, uendelezaji wa viwanda nchini. Agizo hilo limetolewa jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis wakati…

Read More

Utata kufutwa Gwambina FC

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Misungwi Takriban mwezi mmoja tangu kutangazwa kufutwa kwa timu ya soka ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza kwa madai ya mmiliki wake kukerwa na mwenendo wa maofisa wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), undani wa tukio hilo umeanza kuibuka. Gwambina FC ilikuwa ikidaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Misungwi, Alexander Mnyeti, baada…

Read More