JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

INEC yatoa vibali 157 elimu ya mpiga kura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali 157 kwa asasi za kiraia kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu kwa Wapiga kura. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…

Shabiki wa soka achomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Ghana

Shabiki maarufu wa mpira wa miguu amechomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya ligi nchini Ghana siku ya Jumapili. Mchezo huo ulikuwa kati ya moja ya klabu zenye wasomi na mafanikio makubwa nchini – Kumasi Asante kotoko na neigbours…

Kutoka bungeni Dodoma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Februari 03, 2025.

Changamoto ya wafanyabiashara wageni kufanyakazi za Watanzania kutatuliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ameunda Timu ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini na ajenda ya uwekezaji kinyume chake…