JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali imeondoa changamoto walizokutana nazo wanawake katika uongozi – Bahati Mtono

📌 Asema Siku ya Wanawake Duniani ilianzishwa 1975 na UN 📌 Asema Nishati Safi ya Kupilkia inachagiza ukombozi wa kiuchumi kwa Mwanamke Mkurugenzi Msaidizi Sehenu ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Wizara ya Nishati, Bi. Bahati Mtono amesems Serikali ya Jamhuri ya…

Shule ya msingi Mkange yakabiliwa na uchakavu wa majengo ya madarasa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Shule ya Msingi Mkange, iliyopo Chalinze, mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto kubwa ya uchakavu wa miundombinu, ambapo vyumba vya madarasa vitatu vimechakaa na madarasa mawili hayatumiki ili kuepuka hatari kwa wanafunzi. Hali hii ilibainika wakati…

TIC yaeleza mafaniko yake kwa kipindi cha miaka minne

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Gilead Teri amesema Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imefanikiwa kusajili jumla ya miradi 2,020 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 177.47…

WHO : Mpox ni tishio duniani

Kamati ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inayosimamia dharura za afya kimataifa imeamua kwamba ugonjwa wa Mpox bado ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi duniani. Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa tatu wa Kamati ya Kanuni…