Jamhuri

Bodi ya DAWASA yapongeza maendeleo ya mradi wa JNPPP

………………………………………………………………………………………………….. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA), imepongeza maendeleo ya utekelezaji ujenzi mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa maji wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha jumla ya megawati 2,115 uliofikia asilimia 81.82 hadi kufikia Januari 31,2023. Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya…

Read More

Milioni 50 za Dkt.Mpango zawapa morali walimu

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Tumbi ,Kibaha Mkoani Pwani wamemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Philip Mpango kwa kutoa Sh.milioni 50 kwa ajili ya motisha kwa walimu hao. Dkt.Mpango ametoa motisha wiki iliyopita kwenye ziara yake shuleni hapo baada ya kusomewa matokeo ya mwaka 2022, ambapo pia…

Read More