JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yapongezwa kimataifa

Viongozi mbalimbali wa dunia wapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka ambayo yataanza kutekelezwa rasmi Jumapili mchana. Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi, ametoa wito wa kuwasilishwa kwa msaada wa haraka wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza,…

Wizara ya Nishati yawasilisha utekelezaji wa bajeti 2024/25 katika Kamati ya Kudumu ya Bunge

๐Ÿ“Œ Maeneo ya kipaumbele yaliyotekelezwa kwa mwaka 2024/2025 yaelezwa ๐Ÿ“Œ Ni pamoja na hali ya uzalishaji na upatikanaji wa Nishati ya Umeme nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa utekelezaji…

Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi Afrika yafikia asilimia 95 – Dk Biteko

๐Ÿ“Œ Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa ๐Ÿ“Œ Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki ๐Ÿ“Œ Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania Na Ofisi…

Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027

๐Ÿ“ŒMashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa ๐Ÿ“ŒRais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo…

Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro UZINDUZI wa Baraza la Wafanyakazi la Wilaya ya Malinyi, Morogoro umewafurahisha watumishi wa serikali wilayani humo kwamba, wamepata sehemu ya kueleza changamoto na kutetea maslahi yao. Akifungua kikao cha uzinduzi wa baraza hilo leo tarehe…