Author: Jamhuri
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Repost from @samia_suluhu_hassan Ninaipongeza Zanzibar Heroes kwa kufanikiwa kufika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Mmejitoa, mmejituma na sote tunajivunia safari yenu hadi sasa. Mchezo huu wa fainali ni nafasi ya kipekee kwenu kuandika historia, nasi tuko…
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi…
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Watoto mapacha wawili Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wanadaiwa kumuua mama yao Upendo Mathew Mayaya (42) kwa sababu ya imani za kishirikina. Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limethibitisha kuwakamata na kuwafikisha mahakamani mapacha hao ambao wote…
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Na Mwandishi Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule (School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo…





