JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia aahidi kujenga Chuo cha ufundi Stadi Manyoni

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media,Manyoni Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kama atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine atajenga Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) wilayani Manyoni. Rais Samia ameitoa leo Septemba 9,2025…

Rais Samia: Bahi kupata maji ya Ziwa Victoria

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Bahi Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imejipanga kufikisha maji kutoka Ziwa Victoria hadi Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma. Amesema hatua hiyo itasaidia kumaliza tatizo la maji yenye chumvi linalowakabili…

LHRC yapatiwa ufadhili dola milioni 2 na Ubalozi wa Norway

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za binadamu kimehuisha kwa kusaini Mkataba Mpya wa makubaliano wa miaka 3, kuanzia 2025-2027 na Ubalozi wa Norway kupatiwa Ufadhili wa fedha kiasi Dola Milioni mbili zitakazosaidia katika Mpango…

Samia anaikomboa nchi kwa giridi ya maji

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Johannesburg Nipo hapa jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini nikiendelea na mkutano unaojadili uchumi wa vyombo vya habari chini ya taasisi ya CTRL+J. Mkutano huu unaangalia mwenendo wa mapato, teknolojia ya habari na mitandao ya kijamii vinavyoathiri…

TMA yahimizwa kuendelea kushirikisha wadau kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehimizwa kuendelea kushirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa nchini. Mgeni rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya TMA, Jaji Mshibe…