JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bashe atoa bei elekezi ya mahindi Ruvuma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza bei elekezi ya kununua mahindi Mkoani Ruvuma, kuwa kilo moja ya mahindi itauzwa kwa bei isiyo pungua shilingi 550 kwa kilo moja. Waziri Bashe amesema hayo alipokuwa anazungumza na…

TPA: Ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay kuleta ajira, kukuza uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbamba Bay Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi mkubwa wa kimkakati ambao utaleta manufaa makubwa kwa taifa…

Rais Samia aanza ziara Ruvuma leo

ยท RC Ruvuma aweka wazi kazi atakazofanya Rais Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu anaanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma Jumatatu ambayo ataihitimisha siku ya tarehe 28 mwezi huu. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Ahmed…