JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Silaa aweka bayana mikakati ya kuwezesha idara yake ya Habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo Novemba 18, 2024 jijini Dar es…

Majaliwa aongoza waombolezaji kuaga miili ya marehemu ajali ya ghorofa Kariakoo

●Ata zoezi lanuokoaji liwe endelevu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 18, 2024 amekagua muendelezo wa zoezi la uokoaji katika jengo lililodondoka eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam na amesisitiza kuwa zoezi hilo ni endelevu hadi atakapotolewa mtu wa…

Waziri Mavunde awataka maafisa madini wakazi wa mikoa kusimamia sheria

Awapongezaukusanyaji wa maduhuli Asisitiza utatuzi wa migogoro kwa haraka WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuendelea kusimamia sheria kwenye utendaji kazi ili kuepuka migogoro inayoweza kujitokeza kati ya wachimbaji wa madini na ajali kwenye shughuli…

Kasi ya maendeleo Dar es Salaam yanachangia ongezeko la mahitaji ya umeme -Kapinga

πŸ“Œ Serikali yajikita kufanya maboresho ya miundombinu ya umeme kukidhi mahitaji πŸ“Œ Kituo umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; chafungwa Transfoma za MVA 175 πŸ“Œ Zanzibar kunufaika na maboresho hayo Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi wa…

Waziri Mkuu aagiza Niffer ahojiwe

Na Isri Mohamed Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kumkamata na kumuhoji mfanyabiashara Niffer ili aeleze ni nani aliyempa kibali cha kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa ajali ya Ghorofa lililoporomoka katika soko la Kariakoo….