Author: Jamhuri
Makamu wa Rais anadi fursa za uwekezaji sekta ya Uchumi wa Buluu, Azerbaijan
Na Benny Mwaipaja, Baku, Azerbaijan Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameihamasisha sekta binafsi na wadau wengine wa maendeleo wa kimataifa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta ya uchumi wa buluu kwa faida za kiuchumi na…
Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, mmoja afa, 28 waokolewa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwili mmoja na majeruhi 28 wameopolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, mapema leo. Jitihada za uokoaji zinaendelea huku juhudi zikielekezwa kuwaokoa waliobaki chini ya kifusi hicho. Akizungumza baada…
TARURA Manyara kufungua barabara mpya Km 109
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro pamoja na Babati katika mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo…
Jengo laanguka Kariakoo, uokoaji unaendelea
Kwa mujibu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walipokea taarifa ya kuanguka kwa Jengo Kariakoo, vikosi vya kamandi zote za Mkoa Dar es salaam viko katika tukio hilo na kuendelea na uokoaji. “Zoezi la uokoaji linaendelea tayari tumefanikiwa kuokoa watu…
Israel yafanya mashambulizi katika wilaya moja Damascus
Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya moja ya Mazzeh iliyoko katika mji mkuu wa Damascus siku ya Ijumaa. Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya…