Author: Jamhuri
JK kinara maandalizi ya kongamano la TICAD 9 nchini Japan
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza katika Kongamano Maalumu kuhusu Maendeleo, Usalama wa Chakula na Uchumi Endelevu wa Bluu barani Afrika lililofanyika tarehe 23 – 24, Julai 2025 katika mji wa Hakone, Japan. Kongamano hilo lililoandaliwa kwa pamoja na…
Ujenzi wa saraja la mto Itembe, Meatu wafikia asilimia 85
Na Berensi China, JamhuriMedia, Meatu Ujenzi wa daraja kubwa la Mto Itembe, linalounganisha Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu na Mkalama mkoani Singida, umefikia asilimia 85 na umeleta faraja kwa wananchi walioteseka kwa muda mrefu kutokana na changamoto za usafiri hasa…
Wakandarasi Mtumba wajikuta Kitanzini, Lukuvi atoa ukomo wa kukamilisha ujenzi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaye shughulikia Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, ametoa onyo kali kwa wakandarasi wanaochelewesha kukamilisha ujenzi wa majengo ya Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba, akisisitiza kuwa fedha zote…
Bolt yazindua kipengele cha ‘Family Profile’ kurahisisha safari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kipindi ambacho matumizi ya teknolojia yamekuwa yakikua kwa kasi na upatikanaji wa simu janja ukiwa unazidi kuimarisha ushirikishwaji wa jamii katika huduma za kisasa, sekta ya usafiri wa mtandaoni inayoongozwa na Bolt…
Benki ya Dunia kujenga mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa KV 400 kutoka Uganda hadi Tanzania
📌Yakutana na Mhandisi Mramba kueleza uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa hauna athari kimazingira 📌Yaialika Wizara ya Nishati kushiriki Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York 📌Mramba aahidi kuendelea kushirikiana na Benki ya Dunia utekelezaji miradi ya Nishati…
Wananchi wahimizwa kulinda miundombinu ya elimu Iringa – RC Kheri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Kwa kutambua kazi iliyofanywa na serikali Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Kheri James amewahimiza wananchi Mkoani humo kuhakikisha wanalinda na kuitunza miundombinu iliyojengwa katika sekta ya elimu mkoani humo ili iweze kutumika kwa muda…