Author: Jamhuri
Balozi Hamad akutana na Balozi wa Malawi, waweka mikakati ya ushirikiano
Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na Wezi Moyo, Balozi wa Jamhuri ya Malawi nchini Msumbiji kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Malawi. Balozi Moyo…
Waziri Mavunde akagua maendeleo ujenzi wa jengo la ghorofa nane la TGC Arusha
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa zaidi ya sh. Bilioni 33 zinatarajiwa kukamilisha mradiwa jengo la TGC Arusha. Waziri Mavunde ameyasema leo jijini Arusha alipotembelea eneo la ujenzi wa jengo la kisasa la ghorofa…
DC Mwakilema aipa kongole Muhimbili na Vodacom kwa huduma za matibabu Tanga
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tanga Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema amekoshwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya ubingwa bobezi bure zinazotolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila kwa kushirikiana na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation…
Mafunzo ya uimarishaji mpaka kimataifa kuwajengea uelewa wataalam wa Tanzania na Burundi
Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya…
Rais Samia kuzindua bandari Kavu Kwala Julai 31
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt .Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala pamoja na miradi mingine mikubwa ya kimkakati. Akizungumza na waandishi wa habari Julai…
Rais Samia atoa bilioni nne ujenzi kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala
📌Kiwanda kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa nishati safi nchini 📌REA kugharamia ununuzi wa mtambo wa STAMICO 📌Stamico yapania kusambaza Nishati Safi ya Rafiki Briquettes kila kona Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Shirika la Taifa la Madini…