JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mgombea ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia ACT- Wazalendo Mwanaisha Mndeme afanya kampeni ya mtaa kwa mtaa

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, ameendelea na kampeni yake ya mtaa kwa mtaa katika Kata ya Somangila, Kigamboni, leo. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo, Mndeme amesisitiza umuhimu wa kuchagua…

Tanzania yaweka mikakati ushiriki COP 30

Tanzania imeendelea na Maandalizi kuelekea Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika jijini Belem, Brazil Novemba 10 hadi 21, 2025. Akizungumza katika Mkutano wa Kitaifa wa Kimkakati uliofanyika Dar…

Samia achaneni na wanaotaka kushusha heshima ya Tanzania

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media, Sengerema Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema wapo Watanzania ambao kila wakiona jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaheshimika duniani kazi yao wao ni kushusha heshima ya nchi…

Mgombea udiwani ACT – Wazalendo Kata ya Mabale aahidi kujenga zahanati

Mgombea udiwani kata ya Mabale jimbo la Missenyi mkoani Kagera kupitia ACT WAZALENDO Sweetbert Kaizilege John ameahidi kujenga kituo kipya cha kutolea huduma ya kliniki kwa watoto kitongoji Nyamilembe kijiji cha Kibeo ili kuwanusuru na changamoto wanazokabiliana nazo akina mama…

Dk Samia : yaliyoanzishwa na Magufuli Mwanza nimeyamaliza

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wananchi wa Misungwi kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kampeni leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, akisema mwitikio mkubwa ni…