Author: Jamhuri
Mganga atuhumiwa kumuua mteja na kumfukia kwenye tanuri la mkaa Mlandizi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban (29), mganga wa tiba asilia na mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi, kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira (58), mkazi wa eneo hilo…
Polisi anayedaiwa kubaka mwanafunzi afukuzwa kazi
Na Abdallah Amiri, JamhuriMedia, Igunga Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora,limemfukuza kazi askari wake Koplo Gebasa G. 8265. Askari huyo alikuwa akifanya kazi kituo kidogo cha Polisi Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Muliro akabidhi askari wa kike bendera kwa niaba ya IGP kwenda Scotland
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro amewakabidhi bendera ya Taifa askari wa kike kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura wanaokwenda katika mafunzo ya…
RC Kunenge- Mageuzi ya biashara na uwekezaji yachangia kupaa kwa Manispaa ya Mji Kibaha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa katika kuchochea sekta ya uwekezaji na biashara, huku akitoa wito kwa wawekezaji wa…