Author: Jamhuri
Zelensky: Wanajeshi wetu wanatimiza malengo yao huko Kursk
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wanajeshi wake wanatimiza malengo yao kufuatia mashambulizi katika eneo la Urusi la Kursk, yaliyoanzishwa karibu wiki mbili zilizopita. Kwenye hotuba yake, Zelensky amesema “nimepokea ripoti kutoka kwa Kamanda Mkuu wa jeshi Syrskyi kuhusu hali…
SMZ kuja na boti za mwendokasi
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ipo katika hatua za mwisho za mchakato wa manunuzi ya boti mpya mbili za kisasa zinazokwenda kasi zitakazofanya safari kati ya Tanga, Pemba, Unguja, Dar es Salaam na Mombasa nchini Kenya. Taarifa hiyo imetolewa leo…
Dreamliner yashindwa kufika Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ inasikitika kuwajulisha wananchi kwamba ndege aina ya Boeing 8787-8 Dreamliner, ambayo iliyotarajiwa kufika na kutua leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume imeshindwa kufika kutokana na changamoto za hali ya hewa. Kwa…
Wagonjwa 30 kufanyiwa upasuaji nyonga, magoti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAKRIBANI watu 30 kati ya 200 wenye tatizo la nyonga na goti watafanyiwa upasuaji kwenye kambi ya madaktari bingwa kwa siku nne katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI). Tangu kuanza kutolewa kwa…
Makamu wa Rais Dkt Mpango awapongeza DAWASA
Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais , Dkt. Philip Isdori Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Ibihwa, Wilayani Bahi, Mkoani Dodoma, Dkt. Mpango amesisitiza kuongeza kasi ya uchimbaji wa visima ili wananchi…