JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Papa alifariki kutokana na kiharusi na mshtuko wa moyo – Vatican

Kifo cha Papa Francis siku ya Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88 kimekuja baada ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki kukumbwa na matatizo kadhaa ya kiafya katika miaka ya hivi karibuni. Francis alifariki asubuhi Jumatatu katika makazi yake, Vatican…

Wafanyabiashara waipa kongole TPA kuboresha huduma za bandari na kuongeza mapato ya Serikali

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wameisifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa maboresho ya miundombinu yanayoendelea katika bandari zake hapa nchini, hatua ambayo wamesema imechangia bidhaa zao kufika sokoni kwa…

Rais Samia amlilia Papa Francis

Repost from @samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza…

Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Uongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Vatican kupitia Kadinali Kevin Farell umetangaza siku ya Jumatatu (21.04.2025) kifo cha Papa Francis kupitia televisheni ya Vatican. Wiki kadhaa…

Dunia yapata pigo kwa kumpoteza Papa Francis

Leo tarehe 21 Aprili 2025, dunia imepata pigo kubwa kufuatia taarifa rasmi ya kifo cha Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis. Vatican imethibitisha kuwa Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, baada ya kusumbuliwa na…