JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TCRA: Kinondoni, Sumbawanga na Kilombero zinaongoza kwa majaribio ya ulaghai

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuwa wilaya za Sumbawanga Vijijini, Kilombero na Kinondoni zinaongoza kwa majaribio ya ulaghai kwa simu kupitia ujumbe mfupi (SMS) na sauti. Taarifa ya TCRA kuhusu sekta ya…

BAKWATA yawapiga ‘stop’ wanaharakati kutumia nyumba za ibada kupotosha waumini

Na Jumbe Ismailly, JamhuriMedia, Singida BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limewaagiza masheikhe wa wilaya pamoja na maimamu wa misikiti wote Mkoani hapa kutoviruhusu vikundi vya Wahadhiri na Wanaharakati kutumia majengo ya ibada kupotosha waumini wao kwamba…

TMDA : Hakuna dawa ya kuongeza makalio

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA) imewataka wanawake kuwa makini na kutokubali kudanganywa kuwa kuna dawa ya kuongeza makalio au matiti, huo ni uongo na utapeli. Onyo hilo limetolewa juzi na Mkurugenzi Mkuu…

Mchezaji Fadhil Nkya atwaa ubingwa Lina PG Tour kwa mara ya sita mfululizo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MCHEZAJI wa kulipwa kutoka Gymkhana Dar es Salaam, Fadhil Nkya ameibuka mshindi kwa mara ya sita mfululizo katika mashindano ya gofu ya Lina PG Tour yaliyomalizika jana na kujinyakulia kitita cha Shilingi milioni…

Tanzania mwenyeji ufunguzi wa ‘African Nations Championship’ Chan

-Mtanange wa ufunguzi kupigwa uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia Aug 2, 2025 Jijini Dar es Salaam. Ikiwa ni maandalizi kuelekea michuano ya “African Nations Championship” CHAN Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 21,2025 amekutana…

CRDB yazindua Msimu wa Nne wa Semina ya ‘Instaprenyua’ kwa wajasiriamali wa biashara mtandaoni

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imetangaza rasmi kuanza kwa msimu wa nne wa semina ya ‘Instaprenyua’ jukwaa maalum linalolenga kuwajengea uwezo wajasiriamali wanaoendesha biashara kupitia mitandao ya kijamii. Semina hiyo inatarajiwa kufanyika Jumamosi Julai 26,…