Author: Jamhuri
Rais Samia: Uzalishaji kahawa waongezeka, waingiza dola milioni 250
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Songea RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio yaliyopo sekta ya kilimo hayatokei kwa bahati mbaya bali ni kutokana na juhudi z kubwa zilizofaywa na Serikali. Amesema zao la kahawa pekee limeongezeka katika uzalishaji kutoka tani 65…
Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme
Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo la kati mwa Ukraine, Poltava limeharibu miundo mbinu ya nishati na kukata umeme kwenye makazi 20. Haya yamesemwa leo na mamlaka katika eneo hilo. Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo…
Meli ya kivita ya Misri yapeleka silaha Somalia
Waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia amesema ana wasiwasi kwamba silaha zilizopelekwa nchini Somalia huenda zikaishia mikononi mwa magaidi. Haya yameripotiwa leo na shirika la habari la serikali ya Ethiopia siku moja baada ya meli ya kivita ya Misri…
Rais Samia afungua shule ya msingi mchepuo wa kiingereza ya Chief Zulu Songea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe…
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi chakula Luhimba, Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi wa maghala 28 mapya ya kuhifadhi nafaka katika eneo la Luhimba, Ruvuma. Hafla hii imefanyika Septemba 24, 2024, imekuja kama…
Polisi wachunguza kifo cha Sonii aliyefariki wakati akitoroshwa mikononi mwa Polisi Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aitwaye Johnson Josephat maarufu kwa jina Sonii (39), Mkazi wa Unga Limited Jijini Arusha aliyefariki dunia tarehe Septemba 23, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya…