JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NMB kuchochea maendelea sekta ya utalii Arusha

Benki ya NMB imewahakikishia wafanyabiashara wakubwa mkoani Arusha ushirikiano wa karibu zaidi katika kukuza shughuli zao, hususan sekta ya utalii, ili kuongeza ufanisi wa kibiashara, mapato na mchango wa taifa katika uchumi wa dunia. Akizungumza kwenye hafla ya chakula cha…

Mbeto atabiri anguko la Othman Uchaguzi wa Urais Z’bar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kumemtaja Mgombea Urais wa ACT Wazalendo , Othman Masoud Othman, atashindwa vibaya katika kinyang’anyiro cha Urais kutokana na uwezo wake kuwa mdogo mbele ya mgombea CCM Rais Dk Hussein Ali Mwinyi . Pia…

Mzee Butiku ateta na Dk Nchimbi kwenye mkutano wa hadhara Rorya 

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amekutana na kusaliamiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Joseph Butiku wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu . Dk.Nchimbi ambaye…

Israel yamuua Waziri Mkuu wa Houthi Yemen

Waziri Mkuu wa Serikali ya Houthi nchini Yemen, Ahmed al-Rahawi, ameuwawa kwa shambulio la anga la Israel tarehe 28 Agosti 2025. Shambulio hilo lililenga mkutano wa viongozi waandamizi mjini Sanaa na kuua pia mawaziri kadhaa. Houthi wamethibitisha kifo hicho na…

Mlipuko wa vyuma chakavu waua wawili na kujeruhi Bagamoyo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Watu wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa vibaya, huku nyumba kadhaa zikiharibiwa, kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika banda la kuchomelea vyuma chakavu lililopo Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi wa…