Author: Jamhuri
Waziri Mkuu azungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu wakuu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, Waziri wa…
CRDB Al Barakah Sukuk yaorodheshwa rasmi kwenye soko la hisa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imeweka historia katika masoko ya mitaji nchini baada ya kuiorodhesha rasmi hatifungani yake ya Kiislamu ya CRDB Al Barakah Sukuk katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), hatua…
Mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua aliyeuawa Israel Mollel wawasili nchini
Mabaki ya mwili wa kijana Joshua Mollel aliyeuwawa nchini Israel na wapiganaji wa HAMAS Oktoba 07, 2023 yamewasili leo Novemba 19, 2025 katika kiwanja cha Ndege cha kimataifa cha Kilimanjaro (KIA). Mabaki ya mwili huo yamepokelewa na Ujumbe wa Serikali…
CCM yasisitiza uwajibikaji kwa viongozi huku ikikubali uongozi wa huruma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya viongozi wazembe na wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, kikisisitiza kwamba hakitamvumilia kiongozi yeyote anayeshindwa kuwajibika kwa wananchi. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amesema hayo…
BoT yaongeza uelewa wa wanahabari kuhusu sera za fedha na uchumi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeendesha programu maalum ya mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali, lengo likiwa kuongeza umahiri katika kuripoti masuala ya uchumi na fedha kwa usahihi na weledi. Akizindua…





