Author: Jamhuri
Afrika yajipanga kwa mapinduzi ya habari kwa njia ya teknolojia ya kisasa na ujumuishaji
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha. Baraza la Huru la Habari Afrika (NIMCA) limepitisha maazimio yatakayobadilisha sura ya uandishi wa habari katika bara hilo. Katika kilele cha Mkutano huo baraza limeweka msingi wa mageuzi kupitia matumizi sahihi ya teknolojia ya akili…
FDH :Dira ya 2050 ni Tumaini jipya kwa wenye ulemavu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Shirika la Foundation for Disabilities and Hope (FDH), Michael Salali, amesema uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ni ushahidi thabiti kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kwa dhati kuwajumuisha watu wenye…
NBS wajadili kuboresha takwimu nchini
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imekutana kujadili utekelezaji pamoja na kupitisha Mpango Kazi wa Awamu ya Pili ya Mradi Kabambe wa Kuboresha Takwimu nchini (Tanzania Statistical Master Plan-TSMPT II). Kikao hicho cha kujadili mradi wa TSMPT II kimefanyika jijini…