JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rowen William achaguliwa kuwania Ballon D’or

Na Isri Mohamed Golikipa wa Mamelod Sundowns, Ronwen Williams amechaguliwa kuwania tuzo kubwa za mpira duniani ‘Ballon D’or’ katika kipengele cha magolikipa kumi bora duniani ”YashinTrophy’ Katika kipengele hicho, Williams anashindanishwa na na Diogo Costa (FC Porto), Gianluigi Donnarumma (Paris…

Mwanafunzi wa miaka 14 awaua wenzake kwa bunduki Marekani

Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kufyatua risasi katika shule ya sekondari huko Gerogia nchini Marekani.Waliouawa wametambulika kuwa ni wanafunzi wawili na walimu wawili. Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14…

Kiongozi wa upinzani Uganda ‘Bobi Wine’ kufanyiwa upasuaji

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa  upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari Polisi. Taarifa zinasema Bobi Wine atafanyiwa upasuaji baadaa ya kujeruhiwa mguu katika tukio la vurugu lilitokea mjini Kampala. Wakili…

Spika wa Bunge Ukraine ajiuzulu

Spika wa Bunge la Ukraine Ruslan Stefanchuk, amesema Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba amewasilisha barua yake ya kujiuzulu . Ukraine imekumbwa na wimbi la kujiuzulu mawaziri katika serikali ya rais Volodymr Zelensky. Mawaziri wengine ambao pia wamejiuzulu ni…

Makalla : CCM hatubebwi tumejipanga

Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimesema kitaendelea kushinda chaguzi zake kwa haki na sio kwa kubebwa. Akizungumza katika mkutano maalum na viongozi wa CCM mkoani Arusha, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa…

RC Chalamila apokea majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 04,2024 amepokea taarifa ya kamati aliyoiunda kupitia orodha ya majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazi…