Author: Jamhuri
Zitto : Ni haki yetu kikatiba kushiriki Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema hakitasusia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 badala yake kitashiriki kikamilifu zoezi hilo kwasababu ni haki yao ya kikatiba . Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho cha…
Rais Samia achangia milioni 50 ujenzi wa Kanisa Maswa
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira…
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Falme za Kiarabu afanya ziara Tanzania
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa nchi za Falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Eisa Saif Mohamed Bin Ablan Almazrouei amefanya ziara ya kikazi nchini Tanzania leo tarehe 14 Julai 2025. Jenerali Almazrouei alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya…
Serikali yajenga shule ya kisasa ya wasichana na shule ya amali Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule ya kisasa ya wasichana Mwanza ambayo imejengwa katika Wilaya ya Magu. Shule hiyo imejengwa kupitia Mradi wa kuboresha…
Msajili wa Magazeti alimwagia sifa Gazeti la Jamhuri kwa utunzaji wa kumbukumbu
Na Zulfa Mfinanga JamhuriMedia, Arusha Gazeti la Jamhuri limejizolea sifa kwa namna linavyotunza kumbukumbu za machapisho yake tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011. Tukio hilo ni sehemu ya Mkutano wa Mabazara Huru ya Habari Afrika (NIMCA), ambao umewaleta pamoja wadau mbalimbali…