JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nishati yawasilisha mipango ya kimkakati kutekeleza Dira ya Taifa 2050

📌 Ni katika kikao kazi na Tume ya Taifa ya Mipango. 📌Mradi wa usafirishaji umeme Chalinze–Dodoma ni miongoni mwa miradi ya kipaumbele kufanikisha Dira 2050, 📌Wizara ya Nishati na Tume ya Mipango kushirikiana kwa karibu kusimamia miradi ya Nishati kufanikisha…

Maaskofu wa Katoliki DRC wapinga hukumu ya kifo dhidi ya Joseph Kabila

Baraza la Maaskofu wa Kitaifa wa Congo (CENCO) limelaani hukumu ya kifo iliyotolewa kwa Rais wa zamani Joseph Kabila na Mahakama Kuu ya Kijeshi ya Kinshasa. Wakielezea imani hiyo kuwa haipatani na maadili ya Injili, maaskofu wanadai kwamba mantiki ya…

UNHCR yapunguza ajira 5,000 duniani kote kutokana na ukata

KUTOKANA na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa ahadi za ufadhili, Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limepunguza takriban wafanyakazi 5,000 duniani kote mwaka huu Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwashughulikia Wakimbizi, Filippo Grandi alisema mjini…

Sekta ya madini yachangia ujenzi wa uwanja wa mpira Chunya

*Ujenzi wafikia asilimia 85 *Una viwango vya kutumiwa na Timu zote ikiwemo Simba, Yanga, Azam na nyingine Chunya Katika mwendelezo wa kuchangia ukuaji wa sekta nyingine kwa maendeleo ya Taifa na Jamii, shughuli za madini katika Mkoa wa Kimadini Chunya…

Mafia yafungua soko huru la mwani, wakulima kunufaika

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, imesisitiza ushindani huru katika soko la mwani ili kumnufaisha mkulima, kuinua pato pamoja na kukuza uchumi wa wilaya hiyo . Kwa mujibu wa takwimu za mwaka wa fedha 2024/2025, mavuno…