Author: Jamhuri
TBA kuwaondoa wadaiwa sugu 648 wanaodaiwa bilioni 14.8/- kuanzia Oktoba 7, mwaka huu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wanatarajia kuendesha Operesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu 648 katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma na Mara Oktoba 7, 2024. Pia imeelezwa kwamba licha ya kuondolewa wadaiwa hao katika nyumba…
Iran yatishia kushambulia miundombinu yote ya Israeli
Mkuu wa majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Bagheri ametishia kulenga miundombinu ya Israel, ikiwa itachukua hatua zozote za kulipiza kisasi dhidi ya Tehran. “Ikiwa [Israeli]… inataka kuendeleza uhalifu huu au inataka kufanya lolote dhidi ya mamlaka yetu na uadilifu…
Bei ya mafuta yapanda baada ya shambulizi la Iran
BEI ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati ambao unaweza kuvuruga usambazaji wa mafuta. Wakati wa biashara Jumanne, kigezo hicho kilipanda kwa…
WHO: Afrika ina barabara, gari chache lakini ajali nyingi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Afya (WHO) linasema ingawa Afrika ina barabara na magari machache zaidi kuliko kanda nyingine, ndiyo yenye idadi kubwa kabisa ya vifo vya ajali za barabarani. Ripoti hiyo ya hivi karibuni ya WHO inasema ajali…
Wataalamu wa maabara toeni majibu sahihi kuwasaidia Watanzania – Dk Biteko
๐ Serikali yafanya mageuzi makubwa sekta ya afya nchini ๐ Wataalam wa maabara za binadamu wasisitizwa kulinda taaluma yao ๐Tanzania ya tatu Barani Afrika kwa huduma Blbora za mabara Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…
Tumieni mifumo rasmi kuhifadhi fedha – Pinda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbuge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi kuhifadhi fedha zao katika mifumo rasmi ya kifedha kwa ajili ya usalama. Pinda amesema hayo…




