JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake….

INEC yaondoa fomu za uteuzi wa Wagombea urais

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) Ramadhani Kailima ameongoza watumishi wa Tume hiyo kuondoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ubao wa matangazo…

Rais Samia amewasha umeme vijiji vyote Arusha

📌Vitongoji 936 vimefikiwa na huduma ya umeme Arusha 📌REA yaahidi kufikisha umeme kwa wakati ili kukuza uchumi wa wananchi 📍Arusha Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA),…

TACTIC yaimarisha huduma za usafiri na usafirishaji Manispaa ya Sumbawanga

Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuimarisha huduma za usafiri na usafirishaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya ujenzi wa miundombinu ya barabara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya…