JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TPDC, ZPDC zaendelea kushirikiana uendelezaji sekta ya gesi nchini

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikiano huo masuala mbalimbali yamekuwa yakifanyika kuiendeleza…

Nachingwea yaanza kunufaika na vituo vya kudhibiti wanyamapori waharibifu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Lindi Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wakisema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uvamizi wa…

Serikali yapongeza NMB kwa kampeni bora ya upandaji miti Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Kibaha Serikali imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika Kampeni ya Upandaji Miti Milioni 1 ‘Kuza Mti Tukutuze,’ ambapo Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest ya…

Makamu wa Rais ashiriki kumbukizi ya miaka 103 ya kuzaliwa Baba wa Taifa

…………………………………………………………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alisisitiza sana Watanzania kulinda amani na umoja katika nchi, aliamini kwa dhati usawa wa binadamu na ujenzi…

Sanaa ni uchumi – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejidhatiti kuendelea kukuza na kuimarisha sanaa nchini ikiwa ni moja ya sekta rasmi ya kiuchumi. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili (Aprili 13, 2025) katika Kongamano la Chama cha Wafawidhi wa Matukio Tanzania, linalofanyika Olasiti Garden,…

Dk Dimwa : CCM imejipanga kushinda 2025

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amesema CCM itawachukulia hatua za kimaadili  viongozi,watendaji na wanachama watakaobainika kujihusisha na vitendo vya kuhujumu mchakato wa ndani ya Chama wa kura za maoni.   Hayo ameyasema wakati akizungumza na Kamati…