JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme – Dk Biteko

 Dkt. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia  Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji  Marekani kuendeleza ushirikiano na Afrika matumizi Nishati ya Nyuklia Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…

Elimu matumizi bora ya ardhi kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma Mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa mikononi mwa wanavijiji wenyewe kwa…

Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram kufikishwa mahakamani

Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa mashtaka rasmi, baada ya muda wa kwanza wa kukamatwa na kuhojiwa kumalizika. Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa…

Aliyepatikana na mafuvu ya vichwa vya binadamu Uganda kushtakiwa

Mwanamume mmoja raia wa Uganda anayedaiwa kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya binadamu huenda alikuwa akiyatumia kutoa kafara ya binadamu na anaweza kufungwa jela maisha, polisi wameiambia BBC. Msemaji wa polisi Patrick Onyango alisema mshukiwa, Ddamulira Godfrey, atafunguliwa mashtaka…

Rais Dk Samia azindua ndege za mafunzo ya awali kwa marubani JWTZ

            Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine katika hafla fupi ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa…