JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Kila awaye ajipime, urais anautoa Mungu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Zanzibar Tanzania imepitia mtikisiko. Matukio ya Oktoba 29, 2025 na siku chache zilizofuatia, yameweka doa katika siasa za Tanzania. Haikupata kufikirika kuwa Tanzania hii watu wangechoma moto magari, nyumba za watu na serikali, vituo vya mafuta…

Watanzania tuchague amani badala ya vurugu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Kibiti Ndugu zangu Watanzania, leo nimeona niwaandikie kwa uwazi, kwa uchungu na kwa upendo wa dhati juu ya kinachoendelea hapa nchini. Jumapili iliyopita nimefuatilia kwa karibu mahubiri ya viongozi wengi wa dini makanisani. Wamehubiri siku mbili…

Desemba 9, tuepuke “Kaliba kashaija…”

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia,Nairobi Makala hii naiandika leo Novemba 29, 2025 nikiwa hapa jijini Nairobi, Kenya. Naandika makala hii, kwanza kuwasihi ndugu zangu Watanzania, hasa vijana, kufikiria mara mbili na kufikia uamuzi wa kutoandamana hiyo Desemba 9, 2025. Nilipofika hapa…

Nimewasikia Rais Samia, Maaskofu, BAKWATA, nashauri tuienzi busara ya mfalme Suleiman

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Singida Leo nimesali jijini Dar es Salaam. Mara tu baada ya misa nikasafiri kuja hapa Singida. Nashukuru ujio wa SGR na kuboreshwa kwa miundombinu, muda nilioutumia Dar es Salaam hadi Singida, zamani ilikuwa ndoto za alinacha….

Poleni Watanzania, hongera Rais Dk Samia, mwafaka unatuhusu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Morogororo Leo ni siku 10 tangu Oktoba 29, 2025 siku tuliyofanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Naandika makala hii baada ya kutoka kanisani. Nimekaa, nimetafakari, nikawaza na kuwazua. Yamenijia maono nikaona kupitia makala hii,…

Kuna maisha baada ya uchaguzi

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Ndugu zangu Watanzania, taifa letu linaelekea katika moja ya hatua muhimu za kidemokrasia – Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika kesho Oktoba 29, 2025. Hii ni siku ambayo wananchi tutatumia kalamu na karatasi…