Category: Sitanii
Rais Magufuli naomba uniazime sikio
Wiki iliyopita nimesikia mambo mengi, ila mawili yaliniingia akilini. La kwanza ni hotuba ya Rais John Pombe Magufuli akiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambayo kwa mara ya kwanza yameadhimishwa upande wa Tanganyika. Hii ni historia ya pekee,…
Sherehe zimekwisha, tuchape kazi
Mpendwa msomaji, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Leo nimeona niandike mada inayohusiana na maisha. Nafahamu kuwa mwezi uliopita ulikuwa wa mapigo. Kwa wenzangu na mimi wanaofanya biashara za kubangaiza, umekuwa mwezi mgumu kuliko maelezo. Mwezi huu ndiyo usiseme. Kwa watu…
Vyombo vya habari binafsi
Kwa wiki mbili sasa sijaonekana katika safu hii. Niwie radhi msomaji wangu sikuchagua kutokuwapo, bali kutokana na kazi nzito ya kuchunguza magendo mpakani huko Tunduma, ilinipasa nisiwe mshika mawili. Leo nimerejea. Salamu za heri huwa hazichachi. Msomaji wangu nakutakia heri…
Tunduma Uchumi ni kilio
Kwa muda wa wiki sasa nimekuwa hapa katika Mji wa Tunduma. Mji huu ni mji unaoongoza kwa kuwa na benki nyingi, idadi ya watu si haba na miundombinu yake baada ya kujengwa Barabara ya Tunduma Sumbawanga, si haba. Kwa sasa…
Majaliwa asante la Makonda
Wiki iliyopita kwa mshangao mkubwa nimesoma maelezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Makonda amesema mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwa lipo kundi la watu 10 lilitaka kumhonga Sh 5,000,000 kila mmoja kwa maana ya…
Sheria imepita, upotoshaji umetawala
Wiki iliyopita hatimaye Serikali imehitimisha safari ya miaka 23 ya mchakato wa kutunga Sheria ya Huduma za Habari (MSB). Sheria hii inajihuisha zaidi na utendaji wa vyombo vya habari na wanahabari. Mchakato huu ulianza rasmi mwaka 1993 na umehitimishwa mwaka…