Category: Sitanii
Uzembe wetu tusimsingizie Mungu
Kila mara tukiwa na mijadala ya maana, katikati hujitokeza upepo wa kutuyumbisha. Tukiwa bado kwenye mjadala wa athari za mabadiliko ya tabia nchi zilizosababisha upungufu wa maji jijini Dar es Salaam, kumeibuka mjadala mwingine wa ‘nani ni nani?’ Sikuona sababu…
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani
Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii. Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3,…
Wateule wamemsusia Rais Samia mapambano ya corona
Na Deodatus Balile Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aitangazie dunia kwamba kwa sasa Tanzania imeamua kupambana na janga la corona, inavyoonekana kampeni hiyo inafanywa na Rais peke yake huku baadhi ya wateule wake wakiigiza. Hii…
Tusherehekee haki ya kupata taarifa kwa vitendo
Na Deodatus Balile Leo ni siku ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki ya Kupata Taarifa au wengine wanasema ni ‘Siku ya Haki ya Kujua’ kama inavyojulikana kwa wadau wengi duniani. Siku hii ilitambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa…
Polisi msikamate kabla ya upelelezi
Na Deodatus Balile, Dodoma Kwanza ninaomba kuwashukuru wasomaji wangu kwa mrejesho mkubwa mno kutokana na safu hii ya SITANII kwa makala niliyoiandika wiki iliyopita. Katika makala ya wiki iliyopita nilimwomba DPP kutumia mamlaka yake ya kisheria kuiondoa mahakamani kesi inayomkabili…
DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe
Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya…