Category: Gazeti Letu
Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha muonekano wa mwili
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) kuanzia tarehe 27.10.2023. Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo…
Ndumbo : Wadau washirikiane na Serikali kusaidia changamoto za kielimu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Mkoani Pwani Mwalimu Kassim Ndumbo ametoa wito kwa taasisi na mashirika binafsi kushirikiana na serikali katika masuala mbalimbali ya kijamii yakiwemo afya na elimu. Ndumbo ameyasema hayo…
Wawekezaji wakaribishwa soko la utalii nchini
Na Andrew Chale, JamhuriMedia WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili…





