Category: Gazeti Letu
Breaking news;Taharuki bungeni, Spika aahirisha Bunge
Katika hali isiyotarajiwa Spika wa Bunge Tulia Ackson ameharisha kwa muda kikao chake wakati wabunge wakiendekea kwenye kipindi cha maswali na majibu leo Juni 27, 2023 baada ya king’ora kinachoashiria kuna jambo la hatari. “Waheshimiwa wabunge hiyo sauti inaashiria tutoke…





