JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Agizo la Waziri TAMISEMI latekelezwa

GEITA Na Antony Sollo  Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita limetekeleza agizo lililotolewa na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde, kwa kuwaweka kando kupisha uchunguzi watumishi watatu wa…

Diwani alilia magofu ya Serikali

DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Pamoja na serikali kutilia mkazo ujenzi wa sekondari na vituo vya afya kila kata, Kata ya Minazi Mirefu iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam hali ni tofauti. Kata hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye wakazi…

Chongolo, Shaka wakemea uzembe

SUMBAWANGA Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameacha maagizo mazito kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa. Miongoni mwa maagizo hayo ni kumtaka Mkuu…

Ujenzi barabara Mwandiga – Mwamgongo waanza

KIGOMA Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza ujenzi wa barabara ya Mwandiga – Chankere – Mwamgongo yenye urefu wa kilomita 65  kwa kiwango cha changarawe ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na mikoa…

Ujumbe wawatoa machozi viongozi

TABORA Na Benny Kingson Ujumbe wa kupinga vitendo vya kubakwa na kutumikishwa katika kilimo cha tumbaku na kazi nyingine ngumu uliotolewa na watoto wa shule za msingi Wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora, umewasisimua viongozi, wazazi na walezi na kusababisha watokwe…

BAJETI 2021/22 Prof. Ngowi, vyama wachambua bajeti

DAR ES SALAAM Na Waandishi Wetu Wachambuzi wa masuala ya uchumi nchini wameunga mkono bajeti iliyosomwa bungeni wiki iliyopita, ila wameeleza maeneo yanayohitaji ufafanuzi ili kuondoa wasiwasi wa wananchi. Wamezungumzia hoja ya serikali kutaka ipanue wigo wa ukusanyaji kodi. Profesa…