Category: Gazeti Letu
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…
Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia
Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…
Mwenye nyumba yumo hatiani mpangaji anapojihusisha na biashara, dawa haramu
Na Bashir Yakub Wenye nyumba mnatakiwa kujihadhari sana. Hakikisha unapompangisha mtu unajua historia yake. Wakati mwingine ni vigumu lakini ndiyo iko hivyo. Unalazimika kufanya hivyo kutokana na madhara ambayo unaweza kupata kutokana na makosa ya mpangaji. Kifungu cha 20, Sheria ya…
Yah: Analalamika wananchi tumwone, tumchague tena akalalamike
Asanteni sana nyote mnaoniunga mkono kwa kupokea barua yangu ya kila wiki kupitia ukurasa huu. Nia na madhumuni ya barua hii ni kukumbushana na kutoa au kuwasilisha maoni yangu kwa jamii kuhusu maisha yetu ya kila siku, sanjari na utamaduni…
Umoja ni ufanisi
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Hii ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili, ikiwa ibebeba ujumbe muhimu katika kuongoza watu kupata ufanisi mkubwa pindi wanapoamua kufanya jambo katika hali ya kushirikiana. Watu walio makini mara nyingi wanapenda kufanya…
Epuka malumbano ya Ukristo na Uislamu Mtandaoni
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yakiwamo matumizi na mitandao ya kijamiiyamewezesha wepesi na ukaribu wa mawasiliano ya watu duniani kiasi chakuthibitisha ukweli wa ‘Dunia Kiganjani’ au ‘Dunia kama kijiji kimoja.’ Pamoja na manufaa haya bado ukweli ulio dhahiri ni kuwa…


