Category: Gazeti Letu
Uchunguzi mkali NIDA
Tume tatu zimeundwa kuchunguza ubadhirifu, utendaji, utoaji vitambulisho kwa watu wasio raia na mwenendo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Katika hali ya kushtua, mfanyakazi wa NIDA (jina linahifadhiwa) ambaye ni mke wa mmoja wa…
Simbachawene awasulubu NIDA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ‘amewatoa jasho’ viongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma, Ijumaa iliyopita, JAMHURI limefahamishwa. Waziri Simbachawene ametaka maelezo ya kina kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA,…
Kashfa NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakabiliwa na kashfa nzito inayohatarisha usalama wa nchi kutokana na uamuzi mbovu walioufanya hivi karibuni; uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kashfa hii imetokana na masilahi binafsi, kiburi cha viongozi, kupuuza wataalamu, weledi mdogo wa baadhi…
TBS walikoroga
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamelikoroga baada ya kutoa matokeo ya uchunguzi yaliyojaa utata kuhusu shehena ya mahindi kutoka nchini Marekani ambayo imekaa bandarini kwa miaka miwili. Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba Oktoba mwaka jana Mamlaka ya Usimamizi…
Bashe matatani
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…
CAG amchunguza Dk. Kigwangalla
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeguswa na matumizi mabaya ya fedha za umma yanayodaiwa kufanywa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, na kuna taarifa za uhakika kuwa imeanza kumchunguza. Pamoja na…




