Category: Gazeti Letu
Singasinga ‘anyooka’
Sethi na Rugemarila wanakabiliwa na mashitaka 12 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi nyaraka, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola za Marekani 22, 198,544.60 na…
Profesa Tibaijuka atema mil. 1,600/- za Rugemalira
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka (69), yuko tayari kurejesha Sh bilioni 1.6 alizopewa na James Rugemalira ili zimsaidie mfanyabiashara huyo atoke rumande. Profesa Tibaijuka alikuwa miongoni mwa wanufaika wa mabilioni ya shilingi ‘yaliyomwagwa’ na Rugemalira aliyezipata kutoka kwenye…
Nani kuchomoka?
Uamuzi wa Rais John Magufuli, wa kuwataka Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) na Wakili Mkuu wa Serikali (SG) kupitia kesi za watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji ili kuwaachia huru walio tayari kurejesha fedha, umepokewa kwa shangwe kubwa…
Ridhiwani matatani
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umemfurusha Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika nyumba ya serikali anayoishi jijini Dodoma, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umethibitisha. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kwamba mbunge huyo alishindwa kukamilisha…
Waziri aharibu
Mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) umedumu kwa miaka miwili sasa, huku Waziri wa Maji akitajwa kuwa chanzo cha mkwamo huo. Wakati Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa, akitajwa kuwa chanzo kutokana…
CWT inavyopigwa
Maji yanazidi kuchemka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), huku mkataba wa kinyonyaji wa mshauri wa mradi wa ujenzi na madeni kwenye Mfuko wa Jamii wa PSPF, yakiwa ni miongoni mwa mambo yanayoendelea kwenye chama hicho. JAMHURI limebaini CWT…





