Category: Gazeti Letu
Ameuawa?
Naomi Marijani (36), mama wa mtoto mmoja, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ametoweka katika mazingira yenye utata kiasi cha kujengeka hisia kuwa ameuawa, JAMHURI linaripoti. Hadi leo zimetimia siku 63 tangu Naomi ametoweka katika mazingira yenye kuacha maswali…
Matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019
Yatazame kwa urahisi matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019 hapa>>> https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm
Waliomdanganya JPM kibao chageuka rasmi
Miezi miwili tangu aliyestahili tuzo ya mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), James Kunena, kupokwa fursa hiyo saa chache kabla ya kutunukiwa na Rais Dk. John Magufuli katika kilele cha mwaka huu cha Mei Mosi, hali si shwari…
Bomu la ardhi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amepata jaribio kubwa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. “Siku moja baada ya kuingia ofisini, alijifungia ofisini kwake akasema ana shughuli nyingi hivyo…
Mwenyekiti CWT adanganya
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Clement Mswanyama, amewadanganya walimu na Watanzania kwa ujumla juu ya umiliki wa mali za walimu, JAMHURI linathibitisha. Hivi karibuni, Mswanyama ameitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma na…
Bilionea Monaban wa CCM apata pigo
Mfanyabiashara bilionea Dk. Philemon Mollel, anayemiliki kampuni ya Monaban Trading and Farming Co. Limited, amepokwa kinu kilichokuwa mali ya Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC) jijini Arusha. Pamoja na kunyang’anywa kinu hicho, Dk. Mollel ambaye ni kada na mfadhili wa…





