Category: Habari Mpya
Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kuanza kurindima tena Aprili 11 Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake ya gofu Lina Nkiya kumalizika Moshi, mkoani Kilimanjaro, sasa ni zamu ya Morogoro…
Papa aomba kusitishwa kwa vita Gaza na Ukraine
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesikitishwa na hali ya vita inayoikabili dunia kwa sasa na kuitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kila liwezekanalo kusitisha vita Gaza na Ukraine. Papa Francis amesema hayo jana katika Jiji la Vatican wakati alipokuwa…
Nchimbi amjulia hali mzee Yusuf Makamba
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi…
Naibu Waziri Mkuu akagua matengenezo ya mashine za kufua umeme Kidatu
📌Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi 📌Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara 📌Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi 📌Awatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi…
Tanzania, Burundi zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano sekta ya madini
Bujumbura, Burundi Mawaziri wa Sekta ya Madini wa Burundi Mh. Eng. Ibrahim Uwizeye na Tanzania Mh. Anthony Mavunde leo wamesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana kwenye sekta ya madini ili kukuza mchango wa sekta hii katika uchumi wa nchi mbili…





