Category: Habari Mpya
Sekta ya madini nguzo muhimu ya maendeleo ya nchi
#Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na…
Tanzania, Austria kushirikiana elimu ya ufundi, utalii, biashara na uwekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii. Makubaliano hayo yameafikiwa katika Mkutano wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Angelah…
Mchengerwa ataka DART iongeze watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri Dar
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuongeza watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri wa haraka kwa wananchi wa Dar…
Rais Samia: Dhamiara ya kubadilisha bomba la mafuta TAZAMA, kujenga bomba jipya la gesi iko palepale
Na Wislon Malima, JAMHURI MEDIA Lusaka Zambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wataendelea na dhamira ya kubadilisha Bomba la Mafuta lililopo la Tanzania-Zambia (TAZAMA) na kujenga bomba jipya la gesi asilia kutoka Dar…
Prof.Janabi: Wataalamu sekta ya afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya msaada
Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia Wataalamu wa sekta afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya misaada kwa kuwa itasaidia kusambaza maarifa hayo kwa vizazi na vizazi na hatimaye kusaidia kuokoa maisha. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa…





