Category: Habari Mpya
Rais Samia ashiriki uzinduzi, maonyesho ya mboga na matunda Qatar
Na mwandishi wetu Jamhuri Media , Doha Qatar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023). Maonesho hayo yanatoa fursa kwa wafanyabiashara…
Mhagama afurahishwa ubora wa shamba la kahawa la Aviv Tanzania Limitd Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Magama amesema kuwa nchi inahitaji uwekezaji zaidi wa mashamba makubwa ili kufungua fursa ya ajira kupitia kilimo kama ilivyokuwa kwa shamba kubwa la kahawa…
REA kutoa mikopo ujenzi vituo vya mafuta vijijini
Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Geita Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekuja na mpango wa kutoa mikopo midogo kwa ajili ya kujenga vituo vya mafuta vidogo vidogo vijijini ili kuzuia ajali za moto zinazotokana na kuuza mafuta ya Petroli…
AGRF kutoa Trilioni 1.2 kuimarisha sekta ya mifugo, uvuvi na kilimo
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI inatarajia kupata sh.trilioni 1.2 kutoka kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuimarisha sekta ya mifugo, uvuvi na kilimo. Fedha hizo zimepatikaa kupitia Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula ya Afrika (AGRF) uliofanyika Septemba, mwaka huu,…
Jukwaa la Wahariri lapongeza uteuzi wa Mobhare Matinyi kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Jukwau la Wahuriri Tanzunia (TEF) limepokea kwa furaha uteuzi wa Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa ldara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Pia TEF inampongeza kwa uteuzi huo wa Oktoba 1, 2023. Kwa mujibu…





