
Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla
Wakati sakata la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla la matumizi mabaya ya madaraka likiendelea kushika kasi, msanii Abdul Nassib (Diamond) ‘amemkaanga’ waziri huyo kupitia kwa meneja wake, Hamisi Taletale (Babu Tale). Taletale amezungumza na JAMHURI na kuanika undani wa sakata la wasanii kulipwa mamilioni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ushiriki wao kwenye…