Category: Habari Mpya
Simba mbele kwa mbele
Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Costal Union Fc baada ya kuitandika mabao 3-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Mkwakwani mkoani Tanga. Simba Sc ililazimishwa sare katika kipindi cha kwanza licha ya kukosa nafasi nyingi…
Askari waliotimiza miaka 22 kazini watoa msaada kituo cha watoto yatima
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha faraja Orphanage kilichopo shangalai wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha ikiwa ni mchango wao…
Watuhumiwa wa ukeketaji mbaroni
Na Abel Paul,JamhuriMedia wa Jeshi la Polisi Watuhumiwa wa vitendo vya ukatili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa mara wilaya ya Tarime kwa makosa ya kufanya ukeketaji na tohara kwa Watoto wa kike amabapo ni kinyume na sheria za…
‘Maambukizi ya UKIMWI Ruvuma yapo juu’
Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma MKOA wa Ruvuma kwa mwaka 2022 unakadiriwa kuwa na zaidi ya watu 63,088 wanaoshi na Virusi vya UKIMWI.Haya yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt.Lous Chomboko wakati anatoa taarifa kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwenye…
‘Kila mwezi PSSSF inaingiza kwenye mzunguko zaidi ya sh. bilioni 180’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) tayari umewalipa wanachama 750 waliokumbwa na sakata la vyeti “feki”, baada ya kuwasilisha madai yao na nyaraka stahiki. Akizungumza wakati wa kikao kazi na wanachama wapatao 60…





