JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ndejembi awataka waajiri kuwatumia wataalamu wenye sifa

Naibu waziri wa ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora, Deogratius Ndejembi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanawaweka watu wenye sifa za kusimamia idara za ununuzi na Ugavi ili shughuli hizo ziweze kufanyika kwa weledi na utalaamu mkubwa….

Polisi waungana na jamii ya wafugaji kupinga vitendo vya ukatili

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema litaendelea na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kwa kuhakikisha wanaibua na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na…

Ujenzi bandari kavu ya Kwalala utarahisisha utendajikazi bandari ya Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Bw. Gabriel Migire amesema kufikia Januari, 2023 Bandari kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani itaanza kuhudumia mizigo itakayotoka Bandari ya Dar es Salaam na kuelekea mikoa…

Nyumba ya mwandishi wa habari yapigwa mnada kufidia deni la mil.5.2/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar “Nilikuwa Dodoma kwenye kazi za uandishi wa habari ghafla nikapigiwa simu na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kichangani, Kata ya Kinyerezi Wilaya ya Ilala kuwa nyumba yangu inapigwa mnada kwa sh.milioni 30 ili kufidia deni…

Wanaohujumu mitihani kushughulikiwa

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Dar Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na maafisa wengine wote wakiwemo askari ambao wamepewa jukumu la kusimamia mitihani. Hatua hizo dhidi ya wasimamizi hao wa mitihani zitahusisha…